Kwa Coaches na Skills Trainers..

Ofa inaisha Ndani ya..

KOSA #1 KUBWA Ambalo Wewe Kocha na Trainer

Wa Tanzania Unalifanya Bila kujua

Unapopost Matangazo Ya Kulipia,

..Na kupoteza wateja

7 kati ya 10 unaowapata

(Na Maelfu Ya Shilingi Kila Wiki)

Acha Kujitia HASARA...

.

Rekebisha Hili Kosa

MOJA TU

Ugeuze WhatsApp yako

kuwa mashine ya

kupokelea wateja,

wanaokubembeleza uwauzie,

24/7

...Kwa Kutumia

KITABU CHANGU

Cha

"RAMANI YA UKOMBOZI"

BURE KABISA.

Hivi Ndivyo Unavyofanya Kwa Sasa...

1. Unasponsor Tangazo lako, Facebook, Instagram au Tiktok kwa ajili ya kozi , huduma na programs zako

2. Unaweka link ya kuwapeleka wateja Moja kwa Moja kwenye WhatsApp yako

Na Kwa kufanya hivyo, unapoteza Wateja 7 kati ya 10 Wanaofika kwenye whatsapp yako, hata kabla hujajibu ile meseji yao ya "tell me more about this.."

...Mwisho wa siku Program inabuma Na Pesa Ushachoma...

Unajiuliza:

"Nakosea wapi? Mbona nina content NZURI? Na watu wanaonesha kabisa wanahitaji huduma yangu?"

Najua inavyouma...

Mi mwenyewe nimetokea huko huko..

Nilianza harakati za Online coaching mwaka 2017...

nikifundisha jinsi ya kutengeneza tovuti za biashara mtandaoni..

Na ndani ya miezi 6 ya kwanza, tayari Nilikuwa nimeunguza zaidi ya Tsh 700,000 /= nzima kwenye matangazo ya kulipia tu,

Facebook, Instagram,Tiktok.. Mitandao Yote

Na Nilihakikisha Watu wote nawapeleka Moja Kwa Moja WhatsApp,

Niliamini hiyo ni njia rahisi zaidi,ambayo itanifanya nipate wateja, bila kupoteza muda

Walikuwa Wanakuja watu wengi.....

ILA CHANGAMOTO

YAKE SASA..

1. Kazi ya kujibu ujumbe mmoja mmoja ilinichosha,

2. Kujibu maswali yale yale kwa kila mteja anayekuja,

3. Wengine wanafika whatsApp bila hata kujua mi natoa huduma gani,(hawa walikuwa wakiniacha hoi kabisa)

4. Wengine nakuta sijawajibu toka juzi,

5. Na likija swala la bei sasa...

..Tunaanza kupatana upyaa..

Watu walikuwa wakiniona niko busy kweli,

KUMBE Busy For Nothing.

Kwakuwa nilikuwa nachat tu na watu wengi,

LAKINI SIUZI.

Baada ya kuhangaika sana Mtandaoni,

nikakutana na jamaa mmoja nguli wa kuuza duniani,

Russell Brunson,

Ambaye alinifungua sana macho Kupitia youtube video zake.

Na nilipopata mwanga kidogo, Nikaenda mbali zaidi,

Na kununua kozi yake iliyonipa mwanga wa kutosha,

Inayoitwa "1 Funnel away challenge"

Anayoiuza kwa Ada ya USD 470...(Tsh 1,123,407/=)

Na kunipa SIRI NYINGI SANA za kuuza chochote mtandaoni,

Kwa kutumia MFUMO.

Na tokea Hapo Biashara yangu imebadilika..

Nakumbuka Nilipotumia mfumo wa mauzo kwa mara kwanza kwenye biashara yangu...

nilitengeneza Tsh 739,000/= Ndani ya siku 3 tu.

Angalia screenshot ya dashboard yangu ya wateja inavyosema..

Sasa Hivi sibahatishi wala Siendi kichwakichwa kama mwanzo....

Nauza kwa uhakika, Kwa kutumia MFUMO.

Unaomsindikiza mteja toka siku ya kwanza kuniona Mtandaoni, mpaka anapokuwa mteja.

Hata wewe Sasa hivi Apo umeshaingia ndani ya mfumo wangu..

(Ila Usihofu, Sitokuuzia kitu. Siyo kwa leo....)

Leo Ninakupa Zawadi...

Zawadi Ya Ramani.

Ramani inayokuonyesha NJIA SAHIHI na RAHISI,

Ya kutumia KUMNASA na

KUMSAFIRISHA mteja wako,

Toka Mitandao ya kijamii na kuja kumuuzia Kwa UHAKIKA WhatsApp.

Hatua ....

......Kwa

Hatua.

Iwe ni:

Kozi,

Consultations,

Training,

Huduma Tiba,

Mazoezi,

Mfumo huu unafanya kazi vizuri sana.

Njia sahihi ya

Ramani ya tangazo lako Ni:

Tangazo →

Landing Page → WhatsApp →

Chambo →

Lea →

Uza

.

NIMEKUWEKEA

RAMANI HII NZIMA

YA HATUA ZOTE,

Kwa Mtiririko Sahihi,

KWENYE eBook

Niliyoiita kwa jina la....

Ramani Ya Ukombozi:

(Rescue Map)

Itakayokomboa,

Kurudisha,

Na

Kurekebisha

Mfumo wako Wa Biashara,

Uanze Kuuza Kwa

uhakika

Ndani ya Masaa 24 TU, bila ujuzi wowote wa teknolojia.

Ambapo nimekuchorea

Ramani ya

SAFARI YA mteja

wako JINSI inavyotakiwa

kuwa,

NA:

Njia ya kumsafirisha

kwa kutumia ramani hiyo.

Coaches

Kama wewe ni

Coach,

na unatoa

huduma

za Coaching

kwenye nyanja mbalimbali...

.

Trainers

.

Kama wewe

Unafundisha

ujuzi

mbalimbali mtandaoni, Mfano; Maisha, Ufugaji, Lishe, Biashara,Afya..

hii inakuhusu pia

Sikiliza Makocha na Trainers

wengine

Wanavyosema...

Amani Ludovick

"Nilifuata Ramani ya Funnel rescue, na ndani ya siku 3 tu nimeweza kupata wateja 29 walionunua Tax trainings. Kwangu ni hatua kubwa sana, asante."

Coach Amani, Dar es Salaam

Agnes William

Nisingekutana na Hii ramani ningekuwa nimeshaacha haya mambo ya ukocha

Coach Agnes, Mwanza

Daudi Riganda

Nashukuru sana kwa kunipa mwanga. sasa najua ninachokifanya.

Daudi Riganda, Mbeya

Ndani Ya Hii Ebook Utajifunza:

  • Kosa 1 KUBWA linalogharimu Biashara Yako.

  • Mtego uliopo kati ya Mitandao ya kijamii na Tangazo lako

  • Kwanini kuwapeleka wateja wako whatsapp moja kwa moja ni kujitia hasara

  • Njia ya kwanza sahihi ya kuandika tangazo kuzuia hasara

  • Sababu 3 Hatari sana zinazoua KABISA biashara yako

  • Mfumo wa hatua 7 unaokuwezesha kuuza chochote mtandaoni

  • Jinsi ya kumsafirisha mteja kwenye hizo hatua 7 na kumuuzia kwa uhakika

  • Quick Fix. Jinsi ya kurekebisha mfumo wako wa kuuza ndani ya masaa 24

  • Jinsi unavyoweza kukuza na kuongeza Mauzo ya biashara yako bila kuongeza idadi ya wafanyakazi

PLUS BONUS KIBAO

Bonus 1:

24/7 Friendly support

Utapata sapoti ya karibu

kwa muda wa siku 7 ili uweze kuuza kwa uhakika

Bonus 2:

Maneno SAHIHI ya kutumia unapotaka kumuuzia mtu

Utapata scripts za mauzo

ambazo mimi mwenyewe nimezitumia kuingiza zaidi ya

Tsh1 M ndani ya wiki ya 1 tu .

Bonus 3:

Nafasi ya kujiunga kwenye

channel yetu

Utapata nafasi ya kujiunga

na channel yetu upate tips

na tricks za kuongeza mauzo yako,

na jinsi ya

kutumia mfumo kupata wateja wa uhakika.

Vyote Hivi

Vina Thamani

Ya:

Tsh 347,000+

Lakini Kwa Leo

Nakupa

BURE

KABISA!

Ukifanikiwa Kusoma Hiki Kitabu Mpaka Mwisho:

Hutochoma

TENA PESA zako.

Utaacha kutengeneza matangazo yanayowapeleka watu moja kwa moja whatsApp

Utanasa na kuhakiki wateja wako kwa mfumo wa uhakika bila wewe kulazimika kushika simu yako MUDA WOTE

Utauza kwa uhakika na kufikia malengo yako uliyojiwekea ambayo ni UHURU wa KIFEDHA

Maswali Ya Mara Kwa Mara

Hii Ramani ni bure kweli ?

Ndiyo! Funnel Rescue Map ni bure 100%.

Hauhitaji kulipia chochote. Nipe namba yako ya WhatsApp nitakutumia moja kwa moja kwenye DM yako SASAHIVI.

Kwa nini mnatoa bure?

Kwa sababu Makocha na Trainers wengi Tanzania Wameshapoteza PESA NYINGI SANA kwenye matangazo ya kulipia, kwa kupost BILA MFUMO sahihi.

Nimekutengenezea hii

ramani kukusaidia

kuepuka makosa kama hayo.

Ukiona matokeo,

utaona thamani ya kuwa na funnel sahihi —

na ukihitaji msaada wetu tutakutengenezea

mfumo kamili.

Hii ni kwa ajili ya nani?

Kwa wajasiriamali,

makocha, Trainers,

freelancers na wamiliki

wa biashara ndogo

ambao wanataka

kubadilisha WhatsApp na mitandao

yao ya kijamii kuwa

mashine za mauzo.

Nahitaji ujuzi wa teknolojia?

Hapana.

Ramani hii

imeandikwa kwa lugha rahisi. Inakuelekeza

hatua kwa hatua,

hata kama huna ujuzi wa IT utaelewa unachotakiwa kufanya.

Nitaona matokeo ndani ya muda gani?

Inategemea na aina yako ya biashara uliyonayo,

lakini wengi wakianza

kutumia mbinu zilizopo

kwenye ramani hii,

huanza kuona mabadiliko

ndani ya siku 7.

Baada ya kudownload inakuwaje?

Utapata mara moja Ramani Ramani Ya Ukombozi,(Funnel Rescue Map)

Pia tutakutumia tips

rahisi na nafasi ya kujua

jinsi tunavyoweza kukusaidia kujenga funnel yako haraka zaidi

Hii itafanya kazi Kweli kwenye aina yangu hii ya biashara?

Ndiyo.

Iwe unauza Bidhaa,

Huduma au Coaching

— funnel ni mfumo unaobadilika kulingana na biashara yako.

Kikawaida Ebook hii

Naiuza Kwa

Shilingi:

Tsh 79,999/=

Ila Leo,

Unaipata

BURE KABISA

Imetengenezwa na Vic Automations Hub| Vigezo & Masharti | Kanuni za faragha